waja-schools

Watendaji watuhumiwa kutafuta fedha za shule Wanakijiji wamlilia Mbunge Biteko amalize kero hiyo

Baadhi ya Wazazi wa Kijiji cha Kazilamuyaye Wilayani Bukombe wameamua kujitolea kuchangia shilingi 2000 kwa kila mwezi kwa ajili ya kuwalipa baadhi ya Watu waliyojitolea kuwafundisha Watoto wao baada ya kijiji hicho kutokua na shule hata moja ya msingi huku baadhi ya fedha zaidi ya milioni tatu zilizotolewa kusaidia ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa kijijini hapo kudaiwa kuliwa na Watendaji hali iliyomlazimu Mbunge wa Jimbo la Bukombe Doto Biteko kutaka TAKUKURU iwafatilie waliotumia fedha za Serikali kinyume na utaratibu

.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *