waja-schools

Watoto Njiti 30 kila mwezi wanazaliwa katika Hospitali Teule ya Mkoa wa Geita

Imeelezwa tatizo la kuzaa watoto ambao hawajatimiza umri yaani njiti limekua kubwa kutokana na baadhi ya Wanawake Wajawazito kutohudhuria kiliniki kipindi cha ujauzito, kuzaa mfululizo,ukosefu wa lishe bora na damu mwilini ni sababu zinazochangia tatizo hili ambapo takwimu zinaonyesha kila mwezi watoto njiti 30 wanazaliwa katika Hospitali teule ya Mkoa wa Geita.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *