waja-schools

Watu wawili watekwa na kuuwawa huku mtekaji nae akiuwawa na polisi baada ya kujaribu kuwatoroka

Aliyekuwa mtuhumiwa kinara wa utekeaji watu mkoani Geita na kudai fedha ameuwawa na polisi baada ya kumpiga kikumbo polisi wakati akiwa amewapeleka maeneo ya porini alikowazika watu wawili aliowateka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *