waja-schools

Watumishi wawili wafukuzwa kazi na wengine wasimamishwa

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita imewafukuza kazi watumishi wawili Aphonce Kigingwa ambaye ni muuguzi na Zagalaza Nyanda kutoka idara ya utawala kwa kuwa watoro kazini kwa muda mrefu huku Mhandishi wa Maji Raheli Anthony na afisa ugavi Denice Mwisaba wamesimamishwa kazi baada ya kushindwa kukamilisha mradi mkubwa wa maji ambao unakadiriwa kutumia bilioni 4.4 hadi kumalizika uliaoanza katika mpango wa bajetii 2013/14.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *