waja-schools

Wavamizi wanaoingia Mgodi wa GGM watumia watoto kwenda kubeba vitu vilivyoibwa Mgodini

Baadhi ya Wavamizi waliokuwa wanaingia katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita kwa nia ya kuiba mawe ya Dhahabu wamebuni mtindo mpya wa kuwatumia Watoto kuanzia miaka sita kuingia na kuwabebesha vitu via wifi wakijua fika watoto hao wakikamatwa hawachukuliwi hatua zaidi ya kurudishwa nyumbani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *